RadiWay RadiWay Rádio z celého světa
Logo Tarime FM - Tanzania, Tarime
LIVE

Tarime FM - Tanzania, Tarime

Tanzania #tarime-fm-tanzania-tarime
125 Posluchači
MP3 Formát
Zdarma Bez registrace

O Tarime FM - Tanzania, Tarime

Tarime FM Online Radio ni redio ya kisasa ya mtandaoni inayorusha matangazo yake moja kwa moja kupitia intaneti. Ni jukwaa huru na la kidigitali linalolenga kuhabarisha, kuelimisha na kuburudisha jamii ya Tarime, mkoa wa Mara, Tanzania na Watanzania wote popote walipo duniani. Kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya mtandao, Tarime FM imekuwa daraja linalounganisha wananchi wa ndani na wa diaspora kwa kuwafikishia habari, mijadala ya kijamii, muziki na vipindi vya moja kwa moja vinavyogusa maisha ya kila siku.Show more | Information about the radio: Phone:: +255746132044 | Viber:: +255746132044 | WhatsApp:: +255656114499 | Youtube:: @voiceoftarime

Adresa streamu

MP3

Další z Tanzania

Další stanice v Tanzania

Alternativy ze stejné kategorie.

Zobrazit vše →
RadiWay
Připraveno